Taasis ya Flaviana Matata ‘FMF’ ya
Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka
jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.
Mwaka huu
itaendelea kuwasaidia watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua
matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini.
Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni
Zoezi litaendelea kwa shule
zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa
kuanzia.
Bado Flaviana Matata Foundation inahamasisha yeyote akataeguswa ikiwa ni shirika , kampuni au mtu binafsi atakaeguswa kuwasiliana nao kupitia info@flavianamatatafoundation.org au piga simu +255 784 200 680

.Pichani ni wanafunzi wa Shule ya
Msingi Msinune iliyopo kata ya Kiwangwa katika wilaya ya Bagamoyo leo
team ya FMF ilopotembelea Shule hiyo kuendelea zoezi lake
Msimu wa wanafunzi kurejea mashuleni ndio kwanza umeanza ukiwa
kama kampuni, mtu binafsi ukiguswa na ungependa kusaidia tafadhali
wasiliana na info@flavianamatatafoundation.org au piga simu +255 784 200
680.
Post a Comment