ABOU'S TILES CONTRACTORS: WATAALAMU WA UKARABATI WA MAJUMBA KUTOKA MAREKANI.

Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia, kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.


Tunaweza kushughulikia  mahitaji yote ya matengenezo  yanayohusu ujenzi ama ukarabati  wa nyumba yako, ili kufanya  urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi  juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa  wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa DMV.

Tunatoa huduma za vipimo vya nyumba yako bure yani (Free estimate) iwapo mteja ana tatizo lolote lilojiri kwa ukarabati wa nyumba yako .

Tupo DMV kwajili ya kumaliza tatizo la UKARABATI wa nyumba yako endapo utakuwa na tatizo la aina lolote lile.

Tafadhali wasiliana nasi kwa number za simu  202-361-0671 - 301-728-3977
Email: swahilivilla@gmail.com
Professional Handyman  Services, wakishirikiana na Abou's Tile Contractors

Post a Comment

Previous Post Next Post