Waziri Mkuu wa zamani
na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na motto mwenye ulemavu
wa ngozi, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye
ulemavu wa ngozi cha Buhangija mkoani Shinyanga, mara baada ya kupata wana CCM
wa kumdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba chama kimteue kuwania urais wa
Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Mh.
Lowassa amabaye yuko kanda ya ziwa kutafuta wadhamini, alivunja rekodi ya
kupata wadhamini 7,114, idadi kubwa hadi sasa.
|
Post a Comment