Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,
(wapili kushoto), akiwa na Askofu wa
Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya
kuzindua jiwe la msingi kuashiria maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50, Seminari
ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Jumamosi
Juni 6, 2015
|
Post a Comment