Maandamano ya Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali.

Maandamano ya Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali za umma na binafsi yakipita mbele ya Jukwaa kuu kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi

Picha zote na Ikulu Instagram page.

Post a Comment

Previous Post Next Post